Mijinga haiwezi juisha dunia hii......basi inabidi tuzoee tu.Hata hayo matokeo ni sababu E1 anatokea kwao, tukienda kwa haki Zanzibar hata Division 4 wasingepata
Ujuwe hizo mbili Ni za watoto wa viongozi ili nao waje kua viongozi. Zilizobaki Ni za watoto wa wapiga kura. Wao wanapewa elm ya kuichagua CCM tu.Karibu shule zote za serikali ni za kisiasa. Wanafunzi wanafika kidato cha nne kwa vile ndiyo sera ya SMZ. Wengi hawana uwezo.
Kuna shule mbili tu ambazo inaonekana zimeruhusiwa kusimamia misingi mizuri na matokeo yake ni mazuri.
Lumumba na Fidel Castro.
Si huwa hawataki kuchangamana, wacha waendelee kuzungushaHabari wana Jukwaa!
Zanzibar imekuwa na matokeo yasioridhisha kwa miaka na miaka, Shule zake nyingi zimekuwa zikishika nafasi za mwishoni pamoja na ufaulu mdogo na pia wanafunzi wengi wakipata alama hafifu...
Walianza kubebwa 2021 aliposhika usukaniHata hayo matokeo ni sababu E1 anatokea kwao, tukienda kwa haki Zanzibar hata Division 4 wasingepata
Maadili gani wako vizuri...kupenda kufukua mitaro!?!Lakini. Maadili wapo vizuri sana
Shule za serikali Zanzibar si shule za juzuu. Matokeo yanaonesha kiwango cha F za dini ni kikubwa.Hata huku bara shule zenye kuipa juzuu kipaumbele matokeo Yao hayana tofauti na ya shule za Zanzibar.
Kuna uhusiano wa juzuu na matokeo ya fomfoo. You can fry me but, that is the truth.
Elimu ya kiimani inapewa kipaumbele zaidi kuliko elimu ya kiduniaHabari wana Jukwaa!
Zanzibar imekuwa na matokeo yasioridhisha kwa miaka na miaka, Shule zake nyingi zimekuwa zikishika nafasi za mwishoni pamoja na ufaulu mdogo na pia wanafunzi wengi wakipata alama hafifu...
Yes; bikra utaipata kule! Wanajitunza sana.Lakini. Maadili wapo vizuri sana
Heri zero na F's kuliko ukafir yakhee!Si huwa hawataki kuchangamana, wacha waendelee kuzungusha
Ajira kwa walimu wazuri vijana wa bara hawatoi
Wabara (mtu binafsi au taasisi za kikristo) wakitaka ardhi wajenge mashule na makanisa yao wanabaniwa
Hizo sifuri zitaishaje!?!