Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 25,012
- 56,303
Alitumia waajriwa kutoka home village kusukuma ajenda ingawa kesi zimetamalaki katika hatua mbalimbali huko CMA. Hawa jamaa wapo tayari kulipa makampuni ya uwakili miliini 39 ili washulumu milioni 29Mwenye shule alicheki gap akaona anaweza save hela nyingi akawachinjia baharini baadhi ya walimu na watumishi
Kuendesha biashara si rahisi. Wengi wanakuwa wanategemea hakutakuwa na rabsha zozote za mambo ya uendeshaji. Inawezekana ulipaji wa karo yanafanyika kwa awamu. Kadiri wanavyopokea karo ndio wanalipa wafanyakazi. Sasa kipindi cha kupokea karo ndio masomo yamesitishwa, mzazi gani atatoa pesa kwa huduma isiyokuwapo? Ndio hapo, pengine kukapelekea kushindwa kuwalipa waajiriwa wao.Ndugu wanabodi.....Baada ya serekali kutangaza kufunga shule zote za msingi na sekondari , Uongozi wa shule za Tusiime ulitangaza kuathirika kiuchumi hivyo kushindwa kulipa mishahara ya watumishi kwa shule zake za msingi na sekondari zilizopo Tabata Saanene..
Watumishi wakiwemo wapishi , madereva ,waalimu na matrons walipewa likizo bila malipo iliyoanza tarehe moja April hadi 29 June shule zilipofunguliwa.
Chakusikitisha baada ya watumishi kuripoti kazini walikumbana na barua za kusitishiwa mikataba yao ya ajira na hawakupewa stahiki zao ikiwemo mishahara ya Aprili , May na June.
Zoezi la kuondoa wafanyakazi limeendelea kushamiri toka hiyo June hadi sasa.
Watumishi wengi wamepeleka madai mahakama ya kazi na wengine wameamua kunyamaza baada ya kupatiwa kiasi kidogo cha fedha.
Swali langu ni je ?Iweje Tusiime pekee ndio iathiriwe na Korona kwa haraka kiasi hicho hata kushindwa kulipa japo robo mshahara kwa miezi mitatu.
Iweje hata baada ya kufungua shule watumishi wasipewe japo nauli ya kuendea kazini mpaka waombe advance ya mshahara wa mwezi wa saba.
Hivi Tusiime inawezaje kufanya vurugu za kiwango hichi katikati ya jiji la Dar es Salaam na kuachwa kama kisiki?
Je serekali imepata kodi yake ya Aprili , May na June?
NSSF wamekusanya mafao ya Aprili May na June kutoka Tusiime?
Bodi ya mikopo je ?/mmepata 15% yenu?
Haki ya wanafunzi kupata huduma bora kutoka kwa watumishi kwenye uwiano sawa na wanafunzi inazingatiwa? Ni wajibu wa serekali yetu tukufu kumulika na kuondosha ubabe huu wa Tusiime . Patrobas Katambi anzia Tusiime.
Si ndio mtindo wa sasa, sifia ili upate unalotaka.Kumbe serikali hii ni TUKUFU!...Nilikuwa sijui!![]()
Hebu andika kiswahili vizuri "SEREKALI" au SERIKALI.Ndugu wanabodi.....Baada ya serekali kutangaza kufunga shule zote za msingi na sekondari , Uongozi wa shule za Tusiime ulitangaza kuathirika kiuchumi hivyo kushindwa kulipa mishahara ya watumishi kwa shule zake za msingi na sekondari zilizopo Tabata Saanene..
Watumishi wakiwemo wapishi , madereva ,waalimu na matrons walipewa likizo bila malipo iliyoanza tarehe moja April hadi 29 June shule zilipofunguliwa.
Chakusikitisha baada ya watumishi kuripoti kazini walikumbana na barua za kusitishiwa mikataba yao ya ajira na hawakupewa stahiki zao ikiwemo mishahara ya Aprili , May na June.
Zoezi la kuondoa wafanyakazi limeendelea kushamiri toka hiyo June hadi sasa.
Watumishi wengi wamepeleka madai mahakama ya kazi na wengine wameamua kunyamaza baada ya kupatiwa kiasi kidogo cha fedha.
Swali langu ni je ?Iweje Tusiime pekee ndio iathiriwe na Korona kwa haraka kiasi hicho hata kushindwa kulipa japo robo mshahara kwa miezi mitatu.
Iweje hata baada ya kufungua shule watumishi wasipewe japo nauli ya kuendea kazini mpaka waombe advance ya mshahara wa mwezi wa saba.
Hivi Tusiime inawezaje kufanya vurugu za kiwango hichi katikati ya jiji la Dar es Salaam na kuachwa kama kisiki?
Je serekali imepata kodi yake ya Aprili , May na June?
NSSF wamekusanya mafao ya Aprili May na June kutoka Tusiime?
Bodi ya mikopo je ?/mmepata 15% yenu?
Haki ya wanafunzi kupata huduma bora kutoka kwa watumishi kwenye uwiano sawa na wanafunzi inazingatiwa? Ni wajibu wa serekali yetu tukufu kumulika na kuondosha ubabe huu wa Tusiime . Patrobas Katambi anzia Tusiime.
Ndugu umetanabaisha uoza uliopo hapa shuleni Tusiime na mambo ya kihuni yanayotendeka, umwamba na maringo ya utawala achilia mbali ubaguzi..Kwa Mtu Yeyote Anayetumia Maarifa Kidogo tu Hawezi Kuamini Hoja Nyepesi Za Eti Tusiime Wamekosa Kulipa Mishahara ya Waalimu Kwasababu Ya Corona .Wakati Wazazi Tulishalipa Ada , Wanatumia Majina Ya Wazazi Fake Kuaminisha Watu Eti Kuna Wazazi/Wanafunzi Hawajalipa Ada.
Alafu jiulize Jambo Moja Waalimu Wanapoajiriwa Kuna Kipengele Wanachokubaliana Kwamba Wanafunzi Wanapolipa Ada ndipo Walipwe Mshahara?
Kwahiyo Uliotumika Hapo Ni Uhuni, Usanii na Ubabaishaji Wa kiwango Cha Lami
Yaani Jamaa Wametumia Corona Kuonea Waalimu , Na Kuwapunguza Kazi pasipokufuata Taratibu na Sheria za Nchi.
Na Huyu Mtu Anafanya Mambo Yote hayo Yuko Dar-es-salaam ? Kuna Mambo Ya Hovyo Sana Yanaendelea pale.
Mosi Waalimu Wameondolewa kazini bila Utaratibu, Hadi Leo Kuna Ambao case Zinanguruma Mahakama za Kazi.
Pili hata Kabla Ya Corona Analipa Mishahara Siku Anayotaka .
Kuna Misamiati Maarufu Pale Kama Kapanda? Ikimanisha mishahara inalipwa kwa Njia za janja janja,
Serikali Ya juu Kabisa ifike pale itagundua Madudu Mengi, na ikienda Kufanya Uchunguzi isihoji tu Waalimu Wote Itafute Waalimu Ambao hawana Uhusiano Kabisa na Pale ( Wengi Ni Mamluki ) Wanaficha Ukweli,
Watafutwe Waalimu Ambao Wako nje na Ile System Sio wenye Connection iwe kwa Ukanda, au kwa Kuunganishiwa Kazi.
Serikali Iunde Tume Huru ya Kuchunguza Ile Shule Itagundua Mengi Nina Imani tume Itagundua uozo Mkubwa na Haitamwonea Mtu/ Kampuni.
Nawakilisha.
No spoon feeding, do your homework.Kweli hapo sifahamu nijuze
Wadau nisaidieni kuna kanisa la kilokole hapa mtaani kwangu yaaani wanapiga muziki hadi usiku wa saa saa saba, na wanamka tena saa kumi alfajiri wanatoa spika nje. Nisaidieni nianzie wapi manake ni kero hasa.No spoon feeding, do your homework.