Kumbe serikali hii ni TUKUFU!...Nilikuwa sijui!🤔Ni wajibu wa serekali yetu tukufu kumulika na kuondosha ubabe huu wa Tusiime . Patrobas Katambi anzia Tusiime.
Wezi watupu hao ni kama wale wengineInabi aisee waje na vielelezo ,ni vipi korona iliwaathiri wao kuliko wengine
Kweli inabidi ifanyike hivyo maana haki ni muhimu kutendeka. Kama ile shule ya Arusha St Jude ilimulikwa iweje hawa waachwe wakivuruga taratibu na sheria
Halafu siyo hawa tu humu kuna malalamiko ya shule kibao tu . Ni vizuri serikali ikalitazama hili.
Ada za mwaka wakapokea , mishahara ya miezi mitatu wakachikichia , ngoma inakuja Kodi za TRA, NSSF, nao wanadai na hakuna sababu ya kushindwa kulipa kwani wizara iliekeza ada ilipwe yote.Hii thread ilishaletwa humu kitambo sana. Nadhani hata mmiliki wa shule alikanusha hii kitu na akadaibkuwa ni propaganda chafu dhidi yake
Tusiime na shule zote za private walitudai sisi wazazi ada zao za mwaka mzima kama kawaida..
Tumtafute naibu waziri katambi kwanza tuwasaidie watuInasemekana jamaa ana ushawishi wizara ya elimu. Labda PCCB, ama wizara ya Nazi na TRA hao ndio wanaweza kusimama nae sio Ndelichako
Amelipwa pesa yote ya mwaka mzima anasema hakupata faida upuuzi mtupu .serkali ainagalie hiliAda za mwaka wakapokea , mishahara ya miezi mitatu wakachikichia , ngoma inakuja Kodi za TRA, NSSF, nao wanadai na hakuna sababu ya kushindwa kulipa kwani wizara iliekeza ada ilipwe yote.
Ni ajabu shule ifungwe March ushindwe kulipa hata robo mishahara kwa April ni ajabu lakini ndio kweli
Huyu mbabe Katagira au anajiita chairman anakuambia usijisumbue kumshitaki mahakama ya kazi au popote hutamweza .Ukitaka mishahara yako acha kazi. Cha kushangaza waliokuwa mbele kudai haki kawaachisha na hiyo mishahara hajawapa. Yaani huyu alitakiwa kufanyiwa kitu ya St Jude account zifungwe kabisa. Huyu mbabaishaji anapeta St Jude inadhibitiwaAmelipwa pesa yote ya mwaka mzima anasema hakupata faida upuuzi mtupu .serkali ainagalie hili
Ataingia kwenye 18 tu tumemuona manji atakuwa hiviHuyu mbabe Katagira au anajiita chairman anakuambia usijisumbue kumshitaki mahakama ya kazi au popote hutamweza .Ukitaka mishahara yako acha kazi. Cha kushangaza waliokuwa mbele kudai haki kawaachisha na hiyo mishahara hajawapa. Yaani huyu alitakiwa kufanyiwa kitu ya St Jude account zifungwe kabisa. Huyu mbabaishaji anapeta St Jude inadhibitiwa