Shule za sekondari FEZA zatoza ada ya kawaida kuunga mkono juhudi za serikali

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,902
51,992
Screenshot from 2016-04-22 13:13:14.png
Watu wengi wamekuwa wakiogopa kupeleka watoto shule za FEZA kuwa zina ada kubwa.Ada zao ni za kawaida sana.

Ada ya sekondari ya bweni kwa mwaka ni shilingi 3,650,000 hii yote ni kusaidia juhudi za serikali za kuwezesha watu wengi kumudu gharama kama ambavyo waziri wa elimu profesa Ndalichako amekuwa akkipigania
 
Halafu hiyo ni tuition fee ndio maana huoni tofauti kati ya day na boarding. Waweke na uniform, books, food na accomodation basi
 
sasa imeshuka wapi mm sijaona wakati nasoma tuition fee ilikuwa 2100000 na admission fee 750k sasa imeshuka wapi? ndo kwanza naona ipo juu
 
Magufuli kijana wake yuko pale ingawa ni day scholar. Sasa aseme analipa hiyo mil. 3 tu? Maana kwa uchache atalipa 5m bila transport
 
Wameshusha ada sababu wazazi wamezidi kuondoa watoto kwa kushindwa kumudu ada hiyo
 
Mbona wewe ni mbulula kupitiliza, umeongea na uongozi wa shule wakakwambia kuwa ada hiyo ni kwa kuiunga mkono serikali. Nyumbu mkubwa we! Usitunge story kwa ajili mapenzi yako kwa Magu.
Jamaa kasoma vitu viwili tu, Admin na Tuition fees kakimbilia kupost. Naona hajawahi kusomesha mtoto huyu. Huwezi kupeleka mtoto Feza school ukiwa na vitu viwili tu yaani ada ya Usajili na masomo. Arudi ajipange.
 
Back
Top Bottom