Shule nyingi za private wazazi fuatilia mtoto wako vzr. Usione anafaulu ukafikri yupo njema. Mwaka jana mama mmoja alilia sana baada ya mtoto wake kila akifanya mitihani ya kutafuta nafasi ya kuingia form one mtoto alikuwa akifeli sana.
Lakini shuleni alikuwa anafanya vizuri mitihani yote. Baada ya kufuatilia ikabainika mitihani mingi hasa hii ya wilaya au mkoa watoto hufundishwa kusaidiana mtoto mwenye akili anakaa karibu na ambaye hana uwezo darasani harafu wanapeana majibu.
Kwa hiyo wazazi kuweni macho sana ikibd mpe kimitihani hata home akijafanye uwe unaona maendeleo yake unaweza kulipia mihela kibao kumbe bure kabisa.