Shule za Nimrod Mkono huko Musoma

Kichuguu

Platinum Member
Joined
Oct 11, 2006
Posts
18,071
Reaction score
25,175
....ndizo zilizofanya vibaya sana kwenye mitihani ya kitaifa; je zina matatizo gani ambayo yanahitaji kushughulikiwa mara moja? Mheshimiwa Mkono alijitolea sana kujenga shule hizo wakati akiwa well connected wakati wa utawala wa Mkapa na Kikwete lakini zimekuwa zikisuasua sana kitaaluma.
 
Hivi mwenyewe yuko wapi?

Anahudhuria bungeni, au naye atavuliwa ubunge kwa utoro? Sijamsikia wala kumsoma kwenye vyombo vya habari kwa muda mrefu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…