N'yadikwa
JF-Expert Member
- Aug 10, 2014
- 6,825
- 9,532
Yaani ukiingia benki lazima utakutana na Mtanzania ambae hajui kujaza pay in slip au hata money transfer forms kv TT. Hii ni elimu ndogo kabisa ambayo wananchi wanafaa kujifunza Shule ya Msingi au Sekondari yakiwemo masuala ya posta na simu.
No wonder tuna watu wanapigwa sana kwenye masuala ya miamala sababu ya ujinga. Wekeni topics kama hizi za fedha kwenye somo la hesabu in replacement of topics ambazo hazina relevance kwenye maisha ya kawaida.
Tatizo hili lipo hata kwa wasomi kuanzia form 4 hadi graduates.
Nawasilisha
Sent using Jamii Forums mobile app