Shule za kata mzigo!!!

Voli kitoki

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2011
Posts
365
Reaction score
92
Mwalimu wa kiingereza aliandika neno "KISS ME" na kuwaambia wanafunzi wasome kwa sauti.
Mwl: say "kiss me"!
wananfunzi: Mwaaaaaaa!
 
Wamemaanisha kuwa tayari wanalijua hilo neno kiss me.
 
kijana mwingine alimuambia bibi yake mzaa mama,"kiss me"bibi akaguna na kumuuliza"hicho kis......mi, changu au cha mkeo?"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…