unaamini kabisa yalikuwa mapinduzi? Hebu pitia timeline uone kama ni kitu kinawezekana. Mi naona ilikuwa scripted for special reason....Erdogan tangu majaribio ya mapinduzi amekuwa Mbogo
Ukisoma uzi nimeandika yaliyoitwa Majaribio. Ukiangalia kwa jicho la ndani utaona kuwa uwezekano mkubwa hayakuwa majaribio ya mapinduzi halisi bali ni kujiimarisha.unaamini kabisa yalikuwa mapinduzi? Hebu pitia timeline uone kama ni kitu kinawezekana. Mi naona ilikuwa scripted for special reason....
Mzee wa magogoni ana akili sana hivyo hahitaji ushauriRais kama anasoma hapa awe makini sana na huyo jamaa. Ana ndimi mbili haaminiki. TISS wapitie historia ya huyo jamaa na wamshauri rais accordingly....
hakika hiyo unaipatia wapi?Nadhani mmiliki atabadirishwa, lakini sio kufutwa
Well said MkuuNo Feza haziwezi futwa.. yaani marafiki wa zamani wagombane, wawe maadui, kisha mmoja akimbilie na kuishi U.S.. mwingine ni Rais ana power, sasa anatumia power yake ya Urais kumfilisi mwenzake, kwa ugomvi wao binafsi.. hili hapana..
Kwanza huyu Rais wa Uturuki haaminiki, ni kumsikiliza na kumwacha aende zake kwao.. Ugomvi binafsi anataka kumfilisi mwenzake sbb tu yuko madarakani na wametofautiana, ila wakati anamsapoti haikuwa shida, kwa Tz hataweza hilo..