MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 12,866
- 28,846
Habari wakuu,
Ninaandika kuhusu wamiliki wa shule bbinafsi. Nianze kukumbushia jinsi serikali inavyowatikisa shule binafsi kwa matamko mbalimbali hasa hili la kifuta michujo na kutoruhusu mwanafunzi kukariri darasa.
Wananchi wengi wameitupia sana lawama Serikali bila kuangalia upande wa wamiliki wa hizi shule. Serikali ni kweli ina matatizo yake ila tukumbuke na yenyewe hadi kutamka hivyo lazima kuna faida imeona itapata.
Ninachosema hapa ni kuwa wamiliki wa shule binafsi wamekuwa wabinafsi kama hizo shule zao zinavyoitwa. Wana umoja wao unaitwa TAMONGSCO lakini kiuhalisia huo umoja hauna nguvu yoyote kwa sababu members wanaupuuza.
Utakuta kikao cha TAMONGSCO kwa mkoa wenye shule zaidi ya 100 kinahudhuriwa na shule chini ya 30 na ambazo nyingi katika hizo ni za msingi. Kwakweli bila TAMONGSCO kuwa wamoja na kuacha ubinafsi watayumbishwa sana na shule zao kufa moja baada ya nyingine.