Shule ya sekondari mazinde juu- sehemu ya majengo yake!!!

HOYANGA

Senior Member
Jun 9, 2011
187
26
P8040007.JPG P8060034.JPG P8060039.JPG P8060040.JPG P8120012.JPG P8120005.JPG P8060043.JPG P8060042.JPG P8040001.JPG ingekuwa vipi shule zetu za kata zingekuwa na mijengo kama hii!!!? Nafikiri pia hata nia ya kununua madawati ingekuwepo!!!!!!!
 
Inamilikiwa na nani shule hii?
Really ni mazingira murua kabisa ya kusomea!
 
Ni shule ya wasichana na ni ya catholic. Lushoto ni sehemu nzuri sana kwa shule kwasababu hakuna malaria sana kwasababau ya baridi. Lakini ukishuka mombo tu ni sehemu mbaya sana kwa Wanafunzi na pamejaa magonjwa chungu nzima!. Hivyo kama unataka kumpeleka mtoto wako shule ni lazima uhakikishe kwamba hatorokitotoki shule kwenda mombo
 
ni shule ya wasichana na ni ya catholic. Lushoto ni sehemu nzuri sana kwa shule kwasababu hakuna malaria sana kwasababau ya baridi. Lakini ukishuka mombo tu ni sehemu mbaya sana kwa wanafunzi na pamejaa magonjwa chungu nzima!. Hivyo kama unataka kumpeleka mtoto wako shule ni lazima uhakikishe kwamba hatorokitotoki shule kwenda mombo
true skuli iko sawa sana kwa wasichana wasiopenda kutembea hovyo..!!!!!
 
Back
Top Bottom