Shule ya Secondary Idodi Iringa yawaka moto

Mungumaji

Member
Joined
Oct 14, 2014
Posts
54
Reaction score
4
Kuna habari zinazagaa hapa mjini iringa kuwa shule ya secondary idodi inawaka moto mda huu, kwa wenye taarifa kamili mtujuze kwani wazazi wanahaha.
 
Kuna habari zinazagaa hapa mjini iringa kuwa shule ya secondary idodi inawaka moto mda huu, kwa wenye taarifa kamili mtujuze kwani wazazi wanahaha.
Wanafunzi kadhaa wamejeruhiwa hapo kuna hujuma kwani hii ni mara ya tatu.
 
Si bure.Kwani hii shule imejengwa juu ya ziwa la moto?Maana kila mara yenyewe tu kuungua.
 
Kuna kitu hapo si bure, wahusika wa hiyo shule wakae na wazee wa hapo kijijini waongee nao vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…