Gama
JF-Expert Member
- Jan 9, 2010
- 13,265
- 4,726
Shule inayomilikiwa na Taasisi ya kiislam iliopo katika msikiti wa Mtambani Jijini Dar imetakiwa kutoa maelezo kwanini isichukuiwe hatua. Katika barua yenye kumbukumbu UKKC/DSM/E.2/37/04 imeleza kwamba shule hiyo imekuwa na utaratibu wa kuwapumzisha wanafunzi Alhamis na Ijumaa badala ya Jumapili ambapo ni kinyume cha Sheria.
Katika majibu ya shule hiyo kwa mkaguzi wa elimu imesema kwamba waliomba mwongozo kutoka kwa mkaguzi unaoanisha ni siku zipi rasmi za kazi katika wiki na siku zipi siku za mapumziko katika wiki. Wakuu wa shule hiyo wanadai hadi leo hawajapata majibu hayo.
uongozi wa shule hiyo wamedai tangu ianzishwe shule 2006 utaratibu wao ni huo huo.
Amedai siku ya Ijumaa wametoa fursa kwa wanafunzi kuafanya ibada.
Source: gazeti la Annur