Shule ya Msingi Msoga na Mgodi wa Makaa ya Mawe Mchuchuma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Shule ya Msingi Msoga na Mgodi wa Makaa ya Mawe Mchuchuma

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ntemi Kazwile, Jan 18, 2011.

 1. Ntemi Kazwile

  Ntemi Kazwile JF-Expert Member

  #1
  Jan 18, 2011
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 2,145
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Wadau,

  Katika vyombo vya habari leo kuna habari kubwa mbili, uzinduzi wa shule iliyojengwa kwa msaada wa serikali ya China na nyingine ni ile inayohusu mgodi wa makaa ya mawe Mchuchuma.

  Naona kama kuna dots zinaungana hapa.... Hapo nyuma kuliibuka tetesi kuwa kampuni moja ya jijini Dar (inayomilikiwa na watu wanaotuhumiwa kwa ufisadi katika kashifa nyingi zinazolikabili taifa hili) ndiyo imepewa mgodi huu, kulikuwa pia na tetesi kuwa nyumba ya mkulu ilijengwa na kampuni hiyo iliyokuwa imepata mgodi wa makaa ya mawe.

  Swali langu je hii kampuni ya uchina siyo ya aina ya Dowans? Wachina wametumiwa kama kinga dhidi ya hasira za wabongo??

  Na kwa nini vitu hivi vyote vitangazwe siku moja??

  Tafakari
   
Loading...