Mawematatu JF-Expert Member Joined Apr 8, 2021 Posts 468 Reaction score 608 Feb 19, 2022 #1 Dereva wa Shule ya msingi jijini dsm amewasababishia majereha watoto baada ya kusababisha ajali. Inasadikiwa mwanaume hUyo alikuwa amelewa
Dereva wa Shule ya msingi jijini dsm amewasababishia majereha watoto baada ya kusababisha ajali. Inasadikiwa mwanaume hUyo alikuwa amelewa
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 35,806 Reaction score 86,613 Feb 19, 2022 #2 Kilaba said: Dereva wa Shule ya msingi fortune amewasababishia majereha watoto baada ya gari yake kuendesha akiwa amelewa Click to expand... Toa taarifa kama mtu aliekamilika au nawe umekunywa..?
Kilaba said: Dereva wa Shule ya msingi fortune amewasababishia majereha watoto baada ya gari yake kuendesha akiwa amelewa Click to expand... Toa taarifa kama mtu aliekamilika au nawe umekunywa..?
Mawematatu JF-Expert Member Joined Apr 8, 2021 Posts 468 Reaction score 608 Feb 19, 2022 Thread starter #3 KENZY said: Toa taarifa kama mtu aliekamilika au nawe umekunywa..? Click to expand... Toa wewe, na naomba ufute post yako sitaki Jina la shule hiyo ionekane. Kwa sabb za kibiashara Naomba
KENZY said: Toa taarifa kama mtu aliekamilika au nawe umekunywa..? Click to expand... Toa wewe, na naomba ufute post yako sitaki Jina la shule hiyo ionekane. Kwa sabb za kibiashara Naomba
Technologiest JF-Expert Member Joined Feb 8, 2017 Posts 3,712 Reaction score 4,026 Feb 19, 2022 #4 KENZY said: Toa taarifa kama mtu aliekamilika au nawe umekunywa..? Click to expand... Eti hii nayo taarifa, inasadikiwa.... Ilithibitishwa na nani? Shule ya msingi ipi? Hatarii sana
KENZY said: Toa taarifa kama mtu aliekamilika au nawe umekunywa..? Click to expand... Eti hii nayo taarifa, inasadikiwa.... Ilithibitishwa na nani? Shule ya msingi ipi? Hatarii sana
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 35,806 Reaction score 86,613 Feb 19, 2022 #5 Kilaba said: Toa wewe, na naomba ufute post yako sitaki Jina la shule hiyo ionekane. Kwa sabb za kibiashara Naomba Click to expand... Bila hela utasubiri sana..😂
Kilaba said: Toa wewe, na naomba ufute post yako sitaki Jina la shule hiyo ionekane. Kwa sabb za kibiashara Naomba Click to expand... Bila hela utasubiri sana..😂
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 53,246 Reaction score 50,469 Feb 19, 2022 #6 Lini, wapi, saa ngapi
Mawematatu JF-Expert Member Joined Apr 8, 2021 Posts 468 Reaction score 608 Feb 19, 2022 Thread starter #7 KENZY said: Bila hela utasubiri sana..😂 Click to expand... Maanina
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 35,806 Reaction score 86,613 Feb 19, 2022 #8 Kilaba said: Maanina Click to expand... Mwenyewe phaler wewe.. Jicho kama pua ya Ng'ombe ndo maana unasura Kama shetani anaenda tuition..🤣
Kilaba said: Maanina Click to expand... Mwenyewe phaler wewe.. Jicho kama pua ya Ng'ombe ndo maana unasura Kama shetani anaenda tuition..🤣
digba sowey JF-Expert Member Joined Mar 1, 2017 Posts 10,173 Reaction score 22,130 Feb 19, 2022 #9 Kilaba said: Dereva wa Shule ya msingi jijini dsm amewasababishia majereha watoto baada ya kusababisha ajali. Inasadikiwa mwanaume hUyo alikuwa amelewa Click to expand... Wakati mwingine huwa namuelewa Sana prof. Assad pale aliposema watanzania walio wengi uelewa wao uko chini. Wewe badala ya kutoa taarifa unaanza kulalama utadhani Wana jf wote walikuwepo kwa Hilo tukio. Watanzania wengi wahawezi na hawajui kujieleza na mtoa hoja Ni miongoni mwao,pole sana
Kilaba said: Dereva wa Shule ya msingi jijini dsm amewasababishia majereha watoto baada ya kusababisha ajali. Inasadikiwa mwanaume hUyo alikuwa amelewa Click to expand... Wakati mwingine huwa namuelewa Sana prof. Assad pale aliposema watanzania walio wengi uelewa wao uko chini. Wewe badala ya kutoa taarifa unaanza kulalama utadhani Wana jf wote walikuwepo kwa Hilo tukio. Watanzania wengi wahawezi na hawajui kujieleza na mtoa hoja Ni miongoni mwao,pole sana
mjingamimi JF-Expert Member Joined Aug 3, 2015 Posts 45,751 Reaction score 55,792 Feb 19, 2022 #10 hili gazeti leo utapata hasara.sijui kama watanunua
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,121 Reaction score 1,249,307 Feb 19, 2022 #11 Sasa unaleta habari halafu unakasirika nini. Hao fortune primary habari iwafikie Kilaba said: Toa wewe, na naomba ufute post yako sitaki Jina la shule hiyo ionekane. Kwa sabb za kibiashara Naomba Click to expand...
Sasa unaleta habari halafu unakasirika nini. Hao fortune primary habari iwafikie Kilaba said: Toa wewe, na naomba ufute post yako sitaki Jina la shule hiyo ionekane. Kwa sabb za kibiashara Naomba Click to expand...
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 167,496 Reaction score 185,694 Feb 19, 2022 #12 Inasikitisha sana...
Hismastersvoice JF-Expert Member Joined Jan 26, 2013 Posts 23,289 Reaction score 28,445 Feb 19, 2022 #13 Kilaba said: Dereva wa Shule ya msingi jijini dsm amewasababishia majereha watoto baada ya kusababisha ajali. Inasadikiwa mwanaume hUyo alikuwa amelewa Click to expand... Nawe umesikia kutoka kwa mtu anayetaka ajira ya udereva kwenye shule hiyo.
Kilaba said: Dereva wa Shule ya msingi jijini dsm amewasababishia majereha watoto baada ya kusababisha ajali. Inasadikiwa mwanaume hUyo alikuwa amelewa Click to expand... Nawe umesikia kutoka kwa mtu anayetaka ajira ya udereva kwenye shule hiyo.
Masokotz JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 3,832 Reaction score 6,472 Feb 19, 2022 #14 Kilaba said: Toa wewe, na naomba ufute post yako sitaki Jina la shule hiyo ionekane. Kwa sabb za kibiashara Naomba Click to expand... we ni wa wapi tena.so si umwambiw mode afute uzi?
Kilaba said: Toa wewe, na naomba ufute post yako sitaki Jina la shule hiyo ionekane. Kwa sabb za kibiashara Naomba Click to expand... we ni wa wapi tena.so si umwambiw mode afute uzi?