Shule ya Msingi Chicheho Wilayani Manyoni haina madawati

kimu mazengo

JF-Expert Member
Sep 30, 2018
927
733
Shule ya msingi chicheho, iliyopo kata ya sanza wilaya manyoni ina upungufu mkubwa wa madawati (nusu ya shule nzima wanafunzi wanakaa chini ) hali ni mbaya sana.

IMG-20220225-WA0015.jpg
IMG-20220225-WA0016.jpg
 
Acha wakomae tuu, tuko bize kujenga mwendokasi road na madaraja
Ingawa athari watakazo pata ni kuchakaa kwa nguo haraka
 
Hapo hamna hata mtoto wa diwani .watoto wa wote wanasoma shule binafsi.
Halafu mataahira wanaendelea kukiunga mkono hicho chama cha mahayawani mkono, chama kinachowapa bora elimu na sio elimu bora.

Nchi hii haina uhaba wa mbao, iweje iwe na uhaba wa madawati?

Jibu ni kwamba shida za masikini sio shida za watawala, watoto wa watawala wanasoma kwenye madarasa yenye viyoyozi
 
Back
Top Bottom