tatanyengo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2011
- 1,134
- 280
na mimi nahamishia mke wangu mbuyuni kuanzia mwaka huu.Katika hali isiyo ya kawaida, kama itatokea Dr. Magufuli akashinda na kuwa rais, mke wake aitwaye Janet magufuli atakuwa ni mke wa pili wa rais kutoka shule ya msingi Mbuyuni. Shule hiyo ndiyo anayofundisha mke wa Rais Kikwete mama Salma Kikwete. What a Coincidence!
na mimi nahamishia mke wangu mbuyuni kuanzia mwaka huu.
na mimi nahamishia mke wangu mbuyuni kuanzia mwaka huu.
na mimi nahamishia mke wangu mbuyuni kuanzia mwaka huu.
Katika hali isiyo ya kawaida, kama itatokea Dr. Magufuli akashinda na kuwa rais, mke wake aitwaye Janet magufuli atakuwa ni mke wa pili wa rais kutoka shule ya msingi Mbuyuni. Shule hiyo ndiyo anayofundisha mke wa Rais Kikwete mama Salma Kikwete. What a Coincidence!
Mama Janet Magufuli alionekana kuwa mama mwenye very low profile.
Anaonekana ni mwanamke asie na makeke; namfananisha na Mama Maria Nyerere. Wengine saa hizi tungeona mapicha, mapozi nk
Queen Esther
na mimi nahamishia mke wangu mbuyuni kuanzia mwaka huu.
na mimi nahamishia mke wangu mbuyuni kuanzia mwaka huu.
na mimi nahamishia mke wangu mbuyuni kuanzia mwaka huu.
mkuu mimi ni muuzi magazeti tu huku manzese kwa mtuguri. nahisi labda na mimi zari linaweza kuniangukia kwa staili ingine. yaelekea hiyo shule ina upako.Kwani nawewe utakuwa kwenye baraza lijalo la mawaziri?
Duh!! Kumbe Magufuli maisha take yote Dar. Mimi nilifikiri ni Chato.Katika hali isiyo ya kawaida, kama itatokea Dr. Magufuli akashinda na kuwa rais, mke wake aitwaye Janet magufuli atakuwa ni mke wa pili wa rais kutoka shule ya msingi Mbuyuni. Shule hiyo ndiyo anayofundisha mke wa Rais Kikwete mama Salma Kikwete. What a Coincidence!
Subir azoee utashanga mwenyewe,ndiyo utajua makeke ya wahaya yakoje,hyo ni mhaya bna achana nae kabisa
na mimi nahamishia mke wangu mbuyuni kuanzia mwaka huu.
na mimi nahamishia mke wangu mbuyuni kuanzia mwaka huu.
wazo zuri sana hilo mkuu.Wazo zuri hata mie kesho nafoji barua ya kupeleka TAMISEMI ili wife aende Mbuyuni. Nikihonga kidogo atahamishwa tu si ni ccm bado iko madarakani bhana.