Shule ya Mbuyuni Kutoa First Ladies Wawili

tatanyengo

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2011
Posts
1,133
Reaction score
282
Katika hali isiyo ya kawaida, kama itatokea Dr. Magufuli akashinda na kuwa rais, mke wake aitwaye Janet magufuli atakuwa ni mke wa pili wa rais kutoka shule ya msingi Mbuyuni. Shule hiyo ndiyo anayofundisha mke wa Rais Kikwete mama Salma Kikwete. What a Coincidence!
 
ndio maana mama salma alikua anarukaruka sana baada ya mzee pombe kutangazwa akamnyanyua na ticha mwenzie first lady to be
 
Katika hali isiyo ya kawaida, kama itatokea Dr. Magufuli akashinda na kuwa rais, mke wake aitwaye Janet magufuli atakuwa ni mke wa pili wa rais kutoka shule ya msingi Mbuyuni. Shule hiyo ndiyo anayofundisha mke wa Rais Kikwete mama Salma Kikwete. What a Coincidence!
na mimi nahamishia mke wangu mbuyuni kuanzia mwaka huu.
 
Mama Janet Magufuli alionekana kuwa mama mwenye very low profile.
Anaonekana ni mwanamke asie na makeke; namfananisha na Mama Maria Nyerere. Wengine saa hizi tungeona mapicha, mapozi nk

Queen Esther
 
Subir azoee utashanga mwenyewe,ndiyo utajua makeke ya wahaya yakoje,hyo ni mhaya bna achana nae kabisa
 
na mimi nahamishia mke wangu mbuyuni kuanzia mwaka huu.

😂😂😂😂😂 we jamaa umejua kunichekesha! Kwani unampango wa kuwa waziri kwenye serikali ijayo? Kama ndivyo can I be your mchepuko plz?
 
Kwani nawewe utakuwa kwenye baraza lijalo la mawaziri?
mkuu mimi ni muuzi magazeti tu huku manzese kwa mtuguri. nahisi labda na mimi zari linaweza kuniangukia kwa staili ingine. yaelekea hiyo shule ina upako.
 
Katika hali isiyo ya kawaida, kama itatokea Dr. Magufuli akashinda na kuwa rais, mke wake aitwaye Janet magufuli atakuwa ni mke wa pili wa rais kutoka shule ya msingi Mbuyuni. Shule hiyo ndiyo anayofundisha mke wa Rais Kikwete mama Salma Kikwete. What a Coincidence!
Duh!! Kumbe Magufuli maisha take yote Dar. Mimi nilifikiri ni Chato.
 
Back
Top Bottom