Naona masomo yote ni mahistory ni kawaida kwa watu kuyafaulu.Jina la Mh linazidi kung'aa hii shule ya jina lake hamna 0 hamna IV.
http://www.necta.go.tz/results2016/ACSEE2016/results/s4605.htm
Endelea mheshimiwa na kwingine kuwe hivyo!!
unasoma miguu juuNaona masomo yote ni mahistory ni kawaida kwa watu kuyafaulu.
Naaamu! Kwa raha zako!unasoma miguu juu
Hapana mkuu kusoma ni kusoma tuu hakuna budi kuwapongeza vijana kwa walicho kifanyaNaaamu! Kwa raha zako!
Aweke science aoneNaona masomo yote ni mahistory ni kawaida kwa watu kuyafaulu.