Ushauri wa bure kama utamfaa namkaribisha, Kuna sehemu nzuri sana inauzwa mji umekuwa vizuri nyumba zimezunguka sehemu hiyo na sijaona mradi wowote kama anaolenga yeye maeneo hayo hivyo pangemfaa sana angeweza kukamata viunga vyote kama akifanikiwa kufungua mahali hapo ni chanika kabla hujafika chanika mwisho karibu na benk ya crdb kama akielewa nichek pm kwa maelezo zaidi