mchemsho
JF-Expert Member
- Jun 8, 2011
- 3,230
- 935
Kuna taarifa kutoka Kigoma kwamba shule maarufu ya Kigoma sekondary imefungwa kwa muda usiojulikana na wanafunzi wote wamerudishwa nyumbani kwa muda usiojulikana. Inasemekana sababu ya mgomo ni wanafunzi kupinga kutoruhusiwa kusoma preparation baada ya saa 5 usiku ambapo umeme huzimwa.
Sababu nyingine ni ufundishaji mbovu wa baadhi ya walimu. Wito: serikali kupitia wizara ya elimu itimize wajibu wake katika sakata hili ili watoto wa maskini wapate haki ya elimu ili kujikomboa na umasikini.