A
Walimu wavae majoho ya wazazi. Watoto wao jeHabari Watanzania,
Nawasalimu kwa jina la muungano..
Nina kero yangu haswa kwa shule za advance wanaopokea kidato cha tano Walimu wakuu wanachukua maamuzi ya kukataa kumpokea Mtoto ikiwa tu hajamaliza michango na vifaa vingine kama vile vya usafi ukiangalia umbali uliotoka na Mtoto ni mbali sana.
Mfano mimi mwanangu kapangiwa Kibaigwa Girls iliyopo Dodoma, Mwalimu mkuu na makamo Mkuu wa shule wamenigomea kumpokea Mtoto kisa nimelipia nusu ya pesa za michango na sijakamilisha vifaa vya usafi ukizingatia nimetokea mkoa wa Mtwara
Sijui cha kufanya, naomba waziri husika kufuatilia hili jambo, wazazi tunashindwa kuwapeleka shule mapema watoto kutokana na hizi changamoti.
Naomba kuwasilisha
🤝
Nikisikia michango ya elimu nafarijika angalau, Elimu Ikiwa bure kabisa peleka mtoto private. Ķuwa makini sana Tanganyika unapoambiwa huduma ni bure 100%.Hii ndo Tanzania yetu tunaambiwa Kila siku kwenye majukwaa ya CCM kuwa elimu ni Bure !!!
Hebu mzazi vaa viatu vya mwalimu mkuu! Yaani michango ilivyo kidogo hivyo navyo wazazi mnataka mbembelezwe?Habari Watanzania,
Nawasalimu kwa jina la muungano..
Nina kero yangu haswa kwa shule za advance wanaopokea kidato cha tano Walimu wakuu wanachukua maamuzi ya kukataa kumpokea Mtoto ikiwa tu hajamaliza michango na vifaa vingine kama vile vya usafi ukiangalia umbali uliotoka na Mtoto ni mbali sana.
Mfano mimi mwanangu kapangiwa Kibaigwa Girls iliyopo Dodoma, Mwalimu mkuu na makamo Mkuu wa shule wamenigomea kumpokea Mtoto kisa nimelipia nusu ya pesa za michango na sijakamilisha vifaa vya usafi ukizingatia nimetokea mkoa wa Mtwara
Sijui cha kufanya, naomba waziri husika kufuatilia hili jambo, wazazi tunashindwa kuwapeleka shule mapema watoto kutokana na hizi changamoti.
Naomba kuwasilisha
🤝
Sio walimu tu, hata mimi nasema ukizaa mtoto una wajibu wa kumgharamia....Aisee naona comments za walimu walivyocharuka😅😅