david08606
Member
- Jul 18, 2013
- 47
- 4
Wadau naomba kuwasilisha mada tajwa hapo juu source redio 1 breking news
The School has inspired lives of Many People, Long Live Ilboru Secondary School
Huwaga nakuwaga Mnyonge sana nikisikia kuwa eti Mwigulu nae alipitia pale
The School has inspired lives of Many People, Long Live Ilboru Secondary School
Huwaga nakuwaga Mnyonge sana nikisikia kuwa eti Mwigulu nae alipitia pale
Hii na Mzumbe huwa wanachaguliwa vijana ambao ni very bright. Lakini siku za karibuni zimekuwa ni migomo na maandamano kila mara. Sujui kitu gani kinaendelea. Naskia Ilboru wamewapa wanafunzi 24hrs wasiwapo shuleni kuanzia jana. Uongozi wa hizi shule pia umulikwe!
Sababu za kufungwa ni zipi?Imefungwa kwa muda usiojulikana.
sozi: Mwananchi.