Shule ya bure kwa First class Economist, Mwigulu

Fitinamwiko

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2012
Posts
4,803
Reaction score
1,419
Nakumbuka nilipokuwa undergraduate, siku ya kwanza tuu kuanza muhula, Mwalimu alisema" When I give you guys any assignment, Please do not use Wikipedia as a source of your info" wanafunzi tukamuuliza kwanini? Akasema "Wikipedia is not a reliable source, anybody can post anything at any time, it is good site to get an idea of something, but get reliable sources". Pia siku hiyo hiyo mwalimu huyo huyo pamoja na wengine walisoma school policy "Plagiarism is a serious offence. It is often easy to detect. The School will use a number of detection methods to screen coursework. When plagiarism is detected, penalties appropriate to the problem will be applied, the Head of School will be informed as well as the head of Faculty and your academic record may be amended permanently" Leo hii nimesoma moja ya article zako hapa katika JF, umenukuu word to word maana ya Brigade kutoka Wikipedia bila ya kuonyesha kuwa siyo maneno yako. Huo ni wizi kitaaluma, ambao unaweza kusababisha vyeti vyako vya shule kuwa revoked, kujivunjia heshima kama kiongozi msomi mbele ya wasomi wenzako. Kuna source nyingi zinazokubarika kitaaluma kama dictionary, books, articles, and you name it, but not Wikipedia. Pia kama unanukuu kazi ya mtu, lazima ueleze waziwazi wapi imepatikana. Mwigulu, you 're more than welcome to ask any question concern this topic, I will do my best to help you.
 
Mbona hata siku zake ndani ya CCM zinahesabika. Muda si mrefu atakalia benchi kulingana na source zinavyosema. Wakubwa wengi wameshachoka na umbumbu wake wa kujitoa kimaso maso kupambana na CDM ilihari kila alichokifanya kimeiabisha CCM na kuifanya kuonekana kituko ndani ya jamii
 
Anakumbuka jamaa yake wa magaidi kutoka libya na afghan kule igunga alipo?
 
Msamehe bure huyo jamaa lazima ujue kuchwa chake kimejaa makamasi tu. Hajui hata mimi na weza edit hiyo Wikipedia, nakusema red bridge ni muungano kati ya tanganika na zimbabwe, na wajinga wengine kama yeye wakanuku hivyo hivyo.
Nakumbuka nilipokuwa undergraduate, siku ya kwanza tuu kuanza muhula, Mwalimu alisema" When I give you guys any assignment, Please do not use Wikipedia as a source of your info" wanafunzi tukamuuliza kwanini? Akasema "Wikipedia is not a reliable source, anybody can post anything at any time, it is good site to get an idea of something, but get reliable sources". Pia siku hiyo hiyo mwalimu huyo huyo pamoja na wengine walisoma school policy "Plagiarism is a serious offence. It is often easy to detect. The School will use a number of detection methods to screen coursework. When plagiarism is detected, penalties appropriate to the problem will be applied, the Head of School will be informed as well as the head of Faculty and your academic record may be amended permanently" Leo hii nimesoma moja ya article zako hapa katika JF, umenukuu word to word maana ya Brigade kutoka Wikipedia bila ya kuonyesha kuwa siyo maneno yako. Huo ni wizi kitaaluma, ambao unaweza kusababisha vyeti vyako vya shule kuwa revoked, kujivunjia heshima kama kiongozi msomi mbele ya wasomi wenzako. Kuna source nyingi zinazokubarika kitaaluma kama dictionary, books, articles, and you name it, but not Wikipedia. Pia kama unanukuu kazi ya mtu, lazima ueleze waziwazi wapi imepatikana. Mwigulu, you 're more than welcome to ask any question concern this topic, I will do my best to help you.
 
Nakumbuka nilipokuwa undergraduate, siku ya kwanza tuu kuanza muhula, Mwalimu alisema" When I give you guys any assignment, Please do not use Wikipedia as a source of your info" wanafunzi tukamuuliza kwanini? Akasema "Wikipedia is not a reliable source, anybody can post anything at any time, it is good site to get an idea of something, but get reliable sources". Pia siku hiyo hiyo mwalimu huyo huyo pamoja na wengine walisoma school policy "Plagiarism is a serious offence. It is often easy to detect. The School will use a number of detection methods to screen coursework. When plagiarism is detected, penalties appropriate to the problem will be applied, the Head of School will be informed as well as the head of Faculty and your academic record may be amended permanently" Leo hii nimesoma moja ya article zako hapa katika JF, umenukuu word to word maana ya Brigade kutoka Wikipedia bila ya kuonyesha kuwa siyo maneno yako. Huo ni wizi kitaaluma, ambao unaweza kusababisha vyeti vyako vya shule kuwa revoked, kujivunjia heshima kama kiongozi msomi mbele ya wasomi wenzako. Kuna source nyingi zinazokubarika kitaaluma kama dictionary, books, articles, and you name it, but not Wikipedia. Pia kama unanukuu kazi ya mtu, lazima ueleze waziwazi wapi imepatikana. Mwigulu, you 're more than welcome to ask any question concern this topic, I will do my best to help you.
You're just beating a dead horse and shooting yourself in the foot.

How can you accuse someone for plagiarism wakati hata hujui ni nani aliyeandika hicho unachodai umekitoa Wikipedia.

Wewe mwenyewe unasema mtu yeyote anaweza kuandika chochote na kukiweka kwenye Wikipedia.

Unapata uhalali gani wa kusema aliyekileta JF siye aliyekiweka hapo Wikipedia.

Kama huwezi hata kufahamu kile ulichokiandika kimetoa jibu chenyewe, utawezaje kufundisha watu wenye mboni mbili.

Msaada wako unawafaa bavicha lakini siyo kwa watu wenye ufahamu.
 
Naona umekurupuka kwenye Club zako za gongo
 
You're just beating a dead horse and shooting yourself in the foot.

How can you accuse someone for plagiarism wakati hata hujui ni nani aliyeandika hicho unachodai umekitoa Wikipedia.

Wewe mwenyewe unasema mtu yeyote anaweza kuandika chochote na kukiweka kwenye Wikipedia.

Unapata uhalali gani wa kusema aliyekileta JF siye aliyekiweka hapo Wikipedia.

Kama huwezi hata kufahamu kile ulichokiandika kimetoa jibu chenyewe. Msaada wako unawafaa bavicha lakini siyo kwa watu wenye ufahamu.
OK kama ni Mwigulu ndiye aliyeweka hiyo definition ya Brigade ktk Wikipedia na kuamua kuitumia kuwakosoa CDM, good for you, him and CCM. Otherwise, Ain't got no time to talk to you, love makes you blind.
 
Did I told you to talk to me!!

Don't you know the difference between communication through talking and writing?.

Halafu eti unaweka INVITATION kuelimisha watu. I'm even feeling sorry kwa wale watakaovaa mkenge.

Mimi ninajibu hoja iliyowekwa kwenye jukwaa la siasa JF bila kujali nani aliweka na nani atasoma. Kama ulipata msukumo wa kujaribu kujibu hoja, huo ni mtazamo wako au kama huna muda, hilo ni tatizo lako. Hunufahamu, sikufahamu.

Usitegemee FREE RIDER kwa kuweka mabandiko ambayo hayana mantiki yeyote. I'll never stop dessecting them.
 
ccm chama changu kama mtaendelea kumtumia mwigulu kama mnanyomtumia sasa basi mjue inchi tunaipeleka pabaya,mwigulu ni audui wa amani na utulivu wa nchi yetu waccm wote popote tulipo tumkatae,vyama vyote vina haki na kuwa vyombo vya ukakamavu
 
You're just beating a dead horse and shooting yourself in the foot.

How can you accuse someone for plagiarism wakati hata hujui ni nani aliyeandika hicho unachodai umekitoa Wikipedia.

Wewe mwenyewe unasema mtu yeyote anaweza kuandika chochote na kukiweka kwenye Wikipedia.

Unapata uhalali gani wa kusema aliyekileta JF siye aliyekiweka hapo Wikipedia.

Kama huwezi hata kufahamu kile ulichokiandika kimetoa jibu chenyewe, utawezaje kufundisha watu wenye mboni mbili.

Msaada wako unawafaa bavicha lakini siyo kwa watu wenye ufahamu.

Wewe ni mgumu wa kuelewa....angeonyesha kuwa source ni yeye mwenyewe kwa kurefer article au andiko lake kabla ya kuliweka wikipedia....dont scream while in water!
 
OK kama ni Mwigulu ndiye aliyeweka hiyo definition ya Brigade ktk Wikipedia na kuamua kuitumia kuwakosoa CDM, good for you, him and CCM. Otherwise, Ain't got no time to talk to you, love makes you blind.

Wewe upo tayari kuelimisha wenzako, lakini MwanaDiwani amekupa challenge kidogo tu kuhusu hoja yako, umeenza kuwashwa washwa!

CHADEMA mijitu sijui ikoje! Mwigulu amekwambia anataka msaada wako? mbona umeleta ka-post kako humu ukimtaja jina lake? eti amecopy kitu cha mtu, ni kwanini ukumtaja huyo mtu ambae wewe ulitaka Mwigulu amtaje?

Kama upo tayari kukosoa wenzako na wewe uwe tayari kukosolewa, hutaki basi koma kukosoa wengine.
 
(Did I told) you to talk to me!!

Don't you know the difference between communication through talking and writing?.

Halafu eti unaweka INVITATION kuelimisha watu. I'm even feeling sorry kwa wale watakaovaa mkenge.

Mimi ninajibu hoja iliyowekwa kwenye jukwaa la siasa JF bila kujali nani aliweka na nani atasoma. Kama ulipata msukumo wa kujaribu kujibu hoja, huo ni mtazamo wako au kama huna muda, hilo ni tatizo lako. Hunufahamu, sikufahamu.

Usitegemee FREE RIDER kwa kuweka mabandiko ambayo hayana mantiki yeyote. I'll never stop dessecting them.

Hapo kwenye mabano umemaanisha nini...?
Kadri unavyoendelea kuandika ndivyo unavyozidi kujiaibisha!
 
Nakumbuka nilipokuwa undergraduate, siku ya kwanza tuu kuanza muhula, Mwalimu alisema" When I give you guys any assignment, Please do not use Wikipedia as a source of your info" wanafunzi tukamuuliza kwanini? Akasema "Wikipedia is not a reliable source, anybody can post anything at any time, it is good site to get an idea of something, but get reliable sources". Pia siku hiyo hiyo mwalimu huyo huyo pamoja na wengine walisoma school policy "Plagiarism is a serious offence. It is often easy to detect. The School will use a number of detection methods to screen coursework. When plagiarism is detected, penalties appropriate to the problem will be applied, the Head of School will be informed as well as the head of Faculty and your academic record may be amended permanently" Leo hii nimesoma moja ya article zako hapa katika JF, umenukuu word to word maana ya Brigade kutoka Wikipedia bila ya kuonyesha kuwa siyo maneno yako. Huo ni wizi kitaaluma, ambao unaweza kusababisha vyeti vyako vya shule kuwa revoked, kujivunjia heshima kama kiongozi msomi mbele ya wasomi wenzako. Kuna source nyingi zinazokubarika kitaaluma kama dictionary, books, articles, and you name it, but not Wikipedia. Pia kama unanukuu kazi ya mtu, lazima ueleze waziwazi wapi imepatikana. Mwigulu, you 're more than welcome to ask any question concern this topic, I will do my best to help you.

ngoja nikusaidie kumuita!
cc: Mwigulu Nchemba
 
Last edited by a moderator:
You're just beating a dead horse and shooting yourself in the foot.

How can you accuse someone for plagiarism wakati hata hujui ni nani aliyeandika hicho unachodai umekitoa Wikipedia.

Wewe mwenyewe unasema mtu yeyote anaweza kuandika chochote na kukiweka kwenye Wikipedia.

Unapata uhalali gani wa kusema aliyekileta JF siye aliyekiweka hapo Wikipedia.

Kama huwezi hata kufahamu kile ulichokiandika kimetoa jibu chenyewe, utawezaje kufundisha watu wenye mboni mbili.

Msaada wako unawafaa bavicha lakini siyo kwa watu wenye ufahamu.

Mwigulu aliwahi kuwa na ufahamu ni wakati huo, hivi sasa ameshajitoa ufahamu.
 
Did I told you to talk to me!!

Don't you know the difference between communication through talking and writing?.

Halafu eti unaweka INVITATION kuelimisha watu. I'm even feeling sorry kwa wale watakaovaa mkenge.

Mimi ninajibu hoja iliyowekwa kwenye jukwaa la siasa JF bila kujali nani aliweka na nani atasoma. Kama ulipata msukumo wa kujaribu kujibu hoja, huo ni mtazamo wako au kama huna muda, hilo ni tatizo lako. Hunufahamu, sikufahamu.

Usitegemee FREE RIDER kwa kuweka mabandiko ambayo hayana mantiki yeyote. I'll never stop dessecting them.
"Ain't got no time to talk to you" means bring me evidence to prove your point. I am not a guy who talk too much. You said "How can you accuse someone for plagiarism wakati hata hujui ni nani aliyeandika hicho unachodai umekitoa Wikipedia" prove that Mwigulu is one who post it?
 
Wewe upo tayari kuelimisha wenzako, lakini MwanaDiwani amekupa challenge kidogo tu kuhusu hoja yako, umeenza kuwashwa washwa!

CHADEMA mijitu sijui ikoje! Mwigulu amekwambia anataka msaada wako? mbona umeleta ka-post kako humu ukimtaja jina lake? eti amecopy kitu cha mtu, ni kwanini ukumtaja huyo mtu ambae wewe ulitaka Mwigulu amtaje?

Kama upo tayari kukosoa wenzako na wewe uwe tayari kukosolewa, hutaki basi koma kukosoa wengine.
Mkuu mimi nakosolewa sana hapa na ninakosoa sana hapa bila kujali itikadi. Jana tuu nilisema kitendo cha CDM kuanzisha vikundi vya Ukakamavu ni kosa kisheria. Kitendo cha Mh Mbowe kutamka yale maneno anaweza kushitakiwa kwa uchochezi. Watu wa CDM walikuja juu na kusema walichosema. Leo hii nimepingana na hoja ya Mwigulu kutetea Green guard, ndipo nikagundua amecopy word to word definition ya Brigade toka Wikipedia. Sasa huyo MwanaDiwani anasema nimejuaje kama Mwigulu amecopy? Nimesema leta ushahidi kama ile article kule Wikipedia iliandikwa na Mwigulu? Pia ni ujinga kutumia definition yako kuwashambulia watu wengine. Hivyo ndiyo maana napinga ile Brigade article ktk wikipedia haikuandikwa na Mwigulu. Unajua kiingereza kinachoandikwa na Mwigulu kipo tofauti na kile kilichotumiwa katika article hii. Mwisho Wikipedia is not reliable source unapo wasilisha ujumbe ukiwa msomi kama Mwigulu
 
DID I TOLD YOU ? Majanga haya.
Blackberry imestuck hapo.
Did I told you to talk to me!!

Don't you know the difference between communication through talking and writing?.

Halafu eti unaweka INVITATION kuelimisha watu. I'm even feeling sorry kwa wale watakaovaa mkenge.

Mimi ninajibu hoja iliyowekwa kwenye jukwaa la siasa JF bila kujali nani aliweka na nani atasoma. Kama ulipata msukumo wa kujaribu kujibu hoja, huo ni mtazamo wako au kama huna muda, hilo ni tatizo lako. Hunufahamu, sikufahamu.

Usitegemee FREE RIDER kwa kuweka mabandiko ambayo hayana mantiki yeyote. I'll never stop dessecting them.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Kabla hujabishana nenda kajifunze kutunga sentensi za kiingereza..eti did i told u...kweeendra na kiingereza chako holela
 
Back
Top Bottom