Did I told you to talk to me!!
Don't you know the difference between communication through talking and writing?.
Halafu eti unaweka INVITATION kuelimisha watu. I'm even feeling sorry kwa wale watakaovaa mkenge.
Mimi ninajibu hoja iliyowekwa kwenye jukwaa la siasa JF bila kujali nani aliweka na nani atasoma. Kama ulipata msukumo wa kujaribu kujibu hoja, huo ni mtazamo wako au kama huna muda, hilo ni tatizo lako. Hunufahamu, sikufahamu.
Usitegemee FREE RIDER kwa kuweka mabandiko ambayo hayana mantiki yeyote. I'll never stop dessecting them.