kwani posti zimetoka mkuu...???Mh ina mazingira magumu sana ama?? Mana mm ndo nmepangiwa hko na ndo natak nianze nifanye process za kwenda.
shule iko poaa ila mazingira n bushi sanaaaYah form 5 zimeshatoka kitambo tu
Tafadhali nenda, usikubali kudanganywa, kama wenzako wameweza kusoma na kufaulu basi nawe utaweza.Jaman anaeijua shule ya Biharamulo naomb anijuze kuhusu shule iyo. Mazingira yake yapo vipi? ipo mjini ama?