Shule nzuri yenye combination ya CBG

Shule nzuri yenye combination ya CBG

iddhassan

Senior Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
100
Reaction score
134
naomba kujua shule nzuri yenye combination ya CBG kidato cha tano wavulana private. DSM.MOROGORO.MOSHI.PWANI DODOMA ARUSHA
 
Hii kombi miaka hii haibambi kabisa.. unatesema na msuli Ila inakuja kukucost kwa kuwa huna physics, course nyingi za Afya zinakuwa c Halali yako
 
Hii kombi miaka hii haibambi kabisa.. unatesema na msuli Ila inakuja kukucost kwa kuwa huna physics, course nyingi za Afya zinakuwa c Halali yako
Kwani kila mtu aliesoma PCB kasoma Afya!?? Na je Kama Hana Passion ya Health Sciences!?.
 
Nichek mkuu nkutafutie shule huku moshi

0764616353
 
Back
Top Bottom