Shule nzuri ya nursery ya kiislam

Shule nzuri ya nursery ya kiislam

Wavaa makobazi kwenye ubora wao..wakati naanza darasa la kwanza tunafundishwa kuandika wale walioendaga madrassa wakawa wanafunua madaftari nyuma kabisa wanaanza kuandika kutoka nyuma kuja mbele ya daftari...hahaha usifanye mchezo na madrasa...
 
Back
Top Bottom