QT Jay Member Jan 25, 2017 49 25 Feb 21, 2017 #1 shule nzuri kwa kurudia mtihani wa kidato cha nne yaani QT ni ipi? hususani maeneo ya mwanza, dar es salaam
shule nzuri kwa kurudia mtihani wa kidato cha nne yaani QT ni ipi? hususani maeneo ya mwanza, dar es salaam
Numbisa JF-Expert Member Dec 12, 2016 268,282 1,096,054 Feb 22, 2017 #4 Mwanza expert ipo karibu na shule ya msingi nyanza. Hapo achanganye na akili yake.
Mamndenyi JF-Expert Member Apr 11, 2011 40,608 52,337 Feb 23, 2017 #5 Umeshafeli tena unataka shule nzuri ili ukafeli tena? Jiongeze.
KENZY JF-Expert Member Dec 27, 2015 26,223 56,875 Feb 23, 2017 #6 Mamndenyi said: Umeshafeli tena unataka shule nzuri ili ukafeli tena? Jiongeze. Click to expand... mwache aicheze kete yake upya lkn ajue kilichomfelisha akafute makosa
Mamndenyi said: Umeshafeli tena unataka shule nzuri ili ukafeli tena? Jiongeze. Click to expand... mwache aicheze kete yake upya lkn ajue kilichomfelisha akafute makosa
QT Jay Member Jan 25, 2017 49 25 Feb 23, 2017 Thread starter #7 KENZY said: mwache aicheze kete yake upya lkn ajue kilichomfelisha akafute makosa Click to expand... tena mwambie kosa halirudiwa mara ya pili
KENZY said: mwache aicheze kete yake upya lkn ajue kilichomfelisha akafute makosa Click to expand... tena mwambie kosa halirudiwa mara ya pili
J jum255 Member Aug 20, 2018 7 2 Aug 20, 2018 #9 Habari.Naomba msaada wakutajiwa vituo vya kufanyia mtihani wa kujipima ya weekend mwanza hususani wa hesabu mwanza huku mi mgeni vituo sivijui
Habari.Naomba msaada wakutajiwa vituo vya kufanyia mtihani wa kujipima ya weekend mwanza hususani wa hesabu mwanza huku mi mgeni vituo sivijui
Unosye cailys New Member Jan 25, 2020 1 0 Jan 26, 2020 #10 Naomba msaada nilimaliza kidato Cha nne 2017na sikufanya vizuri lakini 2018nikarisiti lakini sijafanya vizuri naomba ushaurii nifanye nini
Naomba msaada nilimaliza kidato Cha nne 2017na sikufanya vizuri lakini 2018nikarisiti lakini sijafanya vizuri naomba ushaurii nifanye nini
CCM Music JF-Expert Member Dec 5, 2018 1,036 1,782 Jan 26, 2020 #11 Unosye cailys said: Naomba msaada nilimaliza kidato Cha nne 2017na sikufanya vizuri lakini 2018nikarisiti lakini sijafanya vizuri naomba ushaurii nifanye nini Click to expand... Uli risit masomo yapi? Na matokeo yalitokaje?
Unosye cailys said: Naomba msaada nilimaliza kidato Cha nne 2017na sikufanya vizuri lakini 2018nikarisiti lakini sijafanya vizuri naomba ushaurii nifanye nini Click to expand... Uli risit masomo yapi? Na matokeo yalitokaje?