Shule nzuri ya Kindergaten Salasala

mchepuko

JF-Expert Member
Feb 14, 2014
1,192
1,413
wadau
natafuta shule nzuri kwa ajili ya mtoto wangu na ningependa aanze muula ujao...ana miaka mitatu kasoro...ninaishi maeneo ya Salasala-Kinzudi majengo na ningependa shule nzuri iliyo jirani na ada iwe ya nafuu kdogo..naomba mapendekezo yenu mlio na uzoefu...
 
Hebu nenda Kyomo hapo karibu na mnala wa TIGO!njia ya kuelekea Africana.
 
Back
Top Bottom