Teh teh teh!!! inaonekana mkuu IPILIMO hutaki kabisa watu watoe experience zao na hata criticism kidogo hutaki ila wewe wataka positive portrayal tu ya biashara yako. 10% hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!
he!!! halafu nilisahau kuuliza hivi pale wana marketing manager?? nadhani huyo ndio wewe sasa.