Shule kumi ghali Tanzania

Maisha hayafananini
Shule zetu za kata mtoto akiambiwa alete elfu 10 kila mwezi kwa ajili ya kuprint na copy mitihan. Mzazi atakuja juu na kuhisi kuna wizi unataka kufanyika.
Mzazi atalalamika Elimu ni bure kwa nini tunachangia
 
Hujaitaja Feza internation(sio feza za kawaida no international) iko salasala nilienda kumchukulia mwanangu form ada ni kama milion 25 na ushee hapo bila mengine ada tu
Kuchukua form ni 1m hairudishwi
Maktaba ni 2.3m
 
We unamsomesha mtoto wako ada elfu 70 kwa mwaka alafu ukiona vijana tumesimama na Binti yako unatishia kutuua.
Dah sasa sijui wanao lipa hizo 70M wao wakikukuta watakufanya nini.
 
Hujaitaja Feza internation(sio feza za kawaida no international) iko salasala nilienda kumchukulia mwanangu form ada ni kama milion 25 na ushee hapo bila mengine ada tu
Kuchukua form ni 1m hairudishwi
Maktaba ni 2.3m
Hiyo ni ghali lakini hapo juu nimetaja 10 tu ambazo ni ghali zaidi.
 
Naionaga school bus ya braeburn ikiwa barabarani ndani utakuta wanafunzi watatu tu gari full AC ina maana wanafunzi wengine licha ya kulipa ada kubwa wanatumia usafiri binafsi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ