Shule kama jela.

Jaguar

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2011
Posts
3,440
Reaction score
1,029
(MWALIMU):Hii ni siku ya tano mfululizo,kila siku nakuchapa viboko,una lipi la kusema? (MWANAFUNZI):Nashukuru kesho na keshokutwa ni wikiendi i.e(jumamosi na jumapili),hatuji shule!
 
(mwalimu):hii ni siku ya tano mfululizo,kila siku nakuchapa viboko,una lipi la kusema? (mwanafunzi):nashukuru kesho na keshokutwa ni wikiendi i.e(jumamosi na jumapili),hatuji shule!
sio tu kama jela bali kama jehanamu kwani utakuta madent wamesongamana class huku wamekaa chini kila mtu akivizia hewa inayotoka kwenye madirisha yalikaa ka milango
 
Dogo lazima ajaladie,kavu kavu asingeweza.
 
Nakumbuka nikiwa mdogo shule ya msingi,mwalimu akitutawanya kurudi nyumbani tulikuwa tunashangilia kinoma,masikini...hatukujua kama elimu ni ufunguo wa maisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…