balimar
JF-Expert Member
- Sep 18, 2015
- 7,738
- 13,653
Inauma sana Mkuu unapoambiwa kuwa endesha shule kwa Mia hamsini elfu tu. Halafu mnawataka wazazi wakae pembeni. Jaman michango haikwepeki na bure amekufa tushazika. Ni hivi hata young couple haiwezi tumia gharama hiyo kwa mwezi. Huu ni michango wa watoto kumi tu wanakuja kuandikishwa. Private hela hii hata uniform ya mwanao yaweza pelea. Nadhan wakati umefika tuchangie ili kunusuru hii hali. Jaman hii amount hata ktk baadhi ya harusi huuoni mnusu leo ihutumie watoto mia 4.