Shule hii ni ya bweni au kutwa ?

Shule hii ni ya bweni au kutwa ?

NZURI PESA

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2011
Posts
5,958
Reaction score
2,967
wadau kwa anaye jua hii shule ya chunyu n i ya bweni au ya kutwa?natangululiza shukrani
 
mimi chunyu ninayoijua ni ya day shule ya kata iko DODOMA WILAYA mpwapwa ay wewe unaulizia chunyu iliyoko mkoa gani ?
 
..ni ya day sio ya kulala iko mpwapwa.. why umeuliza ??
Nimeuliza ili kujua iwapo ni ya bweni mbona hakuna vitanda wala magodoro na wanafunzi wanaishi humo wakijihudumia kama kujitafutia kuni,maji na kujipikia hivyo kuwa na muda mchache wa kujisomea kutokana na uchovu.MAONI YANGU NI BORA INGEKUWA YA BWENI AU VIONGOZI HAWAJA WAHI KUITEMBELEA NA KUJIONEA YA HUKO?
 
kwani wewe ni mgeni wa wilaya ya mpwapwa ambayo moja ya wabunge wake ni mh. SIMBACHAWENE ?? sasa kwa taarifa yako siyo chunyu tuu shule karibia zote za wilaya hii ziko hivyo.
 
ndiyo ndugu mi ni mgeni wilaya hiyo,sikushangazwa tu na ile barbara dume mwendo wa vaibreshen mwanzo mwisho bali pia na shule kadhaa nilizotembelea mmmh! sidhani kama kuna kiongozi yeyote amewahi kazitembelea mkuu,na jingine hili yaani upeleke kidato cha tano berege mpwapwa hiyohiyo uiache chunyu iliyopo pale! mmmh!
 
hii ndo tanzania yetu ya viwanda
 
Nilikuwa huko juzi. Aseee. Jamaa wanajua kuchagua wale
 
Back
Top Bottom