Shule hii ni kiboko yao

hapa fasihi imetumika nini mamaana yake ukizingatia ni sketi tupu.
 
hapa nakusanya data mkuu mrejesho lazima nilete.

Aisee mtoto wa kike anapomaliza shule na kufikia malengo yake ni jambo la kumshukuru mungu, akicheza vibaya tu na hiyo kamba tayari yuko chini mungu wasaidie wadogo zangu nataman wavuke salama...
 
Aisee
mtoto wa kike
anapomaliza shule na kufikia malengo yake ni jambo la kumshukuru mungu,
akicheza vibaya tu na hiyo kamba tayari yuko chini mungu wasaidie
wadogo zangu nataman wavuke salama...
Ulchosema n kwel kabsa 100%, uliiva shulen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…