wakuu nisaidieni shule bora, ndugu yangu yuko Lindi anataka kumpeleka mtoto wake shule bora yenye taaluma na maadili mazuri hapo Lindi, asanteni sana