Waungwana mnisaidie, kama kuna shule nzuri za science hasa za private nitajien
10x mkuu kwa ushaur af naona ka amna utofaut mkubwa kat ya tusiime na Loyola
10x mkuu kwa ushaur af naona ka amna utofaut mkubwa kat ya tusiime na Loyola
ni kweli, ila kwa upande wangu ningechagua kwenda Tusiime kupiga advance.
afu. kwani. tusiime. ni. boarding. au. ka. Loyola?
Tusiime ina boarding na day pia. Marian Boys pia iko vizuri na ada ni ya kawaida kabisa, ila naona umependekeza shule za mchanganyiko lakini sio mbaya kwenda kuiangalia hata kwenye website yao.
afu. kwani. tusiime. ni. boarding. au. ka. Loyola?
aya samahann. nimewaelewa. ila. ka. mna. pendekezo. la shule. nyingine. naomba. mniambie
St joseph millenium, agape seminary, mariagoreth. Hizo ni shule nzuri pia