Shule Binafsi zinanyonya walimu wao

Shule Binafsi zinanyonya walimu wao

Msovelo Jr

New Member
Joined
Aug 21, 2013
Posts
2
Reaction score
6
Shule Binafsi zimeonyesha unyonyaji wa hali ya juu kwa walimu wao katika kipindi hiki cha korona. Shule hizi hasa mkoa wa Kilimanjaro jimbo Katoliki Moshi, wamewafanyia unyama waalimu wao wachapakazi wanaochangia mkoa wa Kilimanjaro kuwa juu kitaaluma, kwa kuwanyima mishahara waalimu wenye mikataba yao hii sio haki. Wamewakatisha tamaa waalimu wachapakazi. Ningependa viongozi wa nchi waliangalie hili suala.
 
Back
Top Bottom