sawa mbwa hongera pia kwa kupiga hela..Poleni na majukumu wana jf uzi huu si wa kuomba msaada Bali ni wa kutoa shukrani za zati kwa wana jf kama mnakumbuka nilishawai kutoa uzi mbali mbali kuwauliza ni sehemu ipi naweza Pata ps4 ya kununua wengine walienda mbali wakasema kuwa nimekuwa nikiomba omba ushauri toka mwaka jana bila mafanikio lakini namshukuru Mungu ushauri wenu mlionipa umezaa matunda nimefanikiwa kuzipata ps4 na sasa napiga hela kama mbwa 🙏
Tangu lini wanapiga helanapiga hela kama mbwa 🙏
Hili hatumfundishi ila watamfundisha...🤣Hongera piga kazi kaka ila usihonge mtaji.
na wakishaonaga una kaofisi wanavyokufuata kama vile nzi na mzoga.Hili hatumfundishi ila watamfundisha...🤣