Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,774
- 218,396
Asante .
PoaAsante .
Mimi sijaona kubwa juu ya kuondokewa na huyu kada ambaye ni nane au tisa tangu alivyojiunga na chama chenu kwa hiyo huyu bado alikuwa na chama changu kwa hiyo hasira zimeisha amerudi chadema mko huru Sana. Au mmemtuma huko kwa ajili ya kututafunia mafaili kwani Siasa zetu ni moja ya comediMungu ibariki Chadema , chama ambacho kimekuwa mstari wa mbele kuwarejeshea utu wao watanzania wenzetu wanaodhalilishwa kwa tuhuma za kutunga , Chadema imetumia mpaka Wanasheria wa chama kupangua kesi wanazotungiwa baadhi ya watanzania mahakamani kisiasa, Mungu aendelee kuwapa moyo huohuo na awajalie subira kuu.
Pamoja na kujitoa kwenu lakini baada ya kufanikiwa kurudisha Utu wao uliopondwa mithili ya karanga za kuungia kisamvu , baadhi ya wahanga wamekuwa na shukrani ya punda , hiyo isiwakatishe tamaa ya kuokoa wengine .
Endeleeni kuwapigania wengine wanaoonewa bila kuchoka , maana vitabu vya kumbukumbu vitawaandika , punda ana tabia ya kurusha mateke hata kama unamtoa mwiba kwenye mguu wake mwenyewe .
Asante kwa kuandika mkuuMimi sijaona kubwa juu ya kuondokewa na huyu kada ambaye ni nane au tisa tangu alivyojiunga na chama chenu kwa hiyo huyu bado alikuwa na chama changu kwa hiyo hasira zimeisha amerudi chadema mko huru Sana. Au mmemtuma huko kwa ajili ya kututafunia mafaili kwani Siasa zetu ni moja ya comedi
Sisi makamanda halisi tutahakikisha nchi hii inakombolewa kwa udi na uvumba , wanaosaka shibe ya miezi michache waendelee na njaa zao .Wakuu uhuru mlionao ni mkubwa na hili haliko mbali kulikubali ukitaka kulijua hilo fuatilia kauli za Makada ambao wametupwa nje uongozi wakati umri wao bado inakuhusu kuwepo ktk uongozi. Kwa hiyo ndani kuko vibaya na haya yanafanyika kuwaogopesha ya kuwa hata wakienda Upinzani upinzani hakuna jipya lakini jibu ni hili fupi Mambo ni mabaya ndani 2018 up to 2019 tutashughudia mengi ambayo yalikuwa hayategemewi.
Msando anaweza kuambiwa atoe nini? Nimecheka sana kwani mfano wako waweza kuwa kweli kabisa!Kama mwanadamu uliyekamilika lazima uwe na msimamo,
Lazima uwe na kitu unachokiamini,
Kushindwa kuwa hivyo ni sawa na kuwa maiti
Hawa watu wote wanao hama hama hawana misimamo na hawajui wanachokisimamia,
Wanachoangalia ni urahisi wa maisha yao,
Watu kama hawa ni hatari sana
Ikitokea msando kaambiwa toa tigo au tuharibu biashara zako bila shaka anaweza kugawa mzigo
Lazima tuwe na tunachokisimamia iwe kwa furaha au maumivu
Na kama mtu hawezi kufanya vile basi yampasa akae mbali na ushwishi wa kisiasa.
No retreat no surrender. Alutta continua! continua!
Msando anaweza kuambiwa atoe nini? Nimecheka sana kwani mfano wako waweza kuwa kweli kabisa!