Shukrani ukweni

Shukrani ukweni

Judgement

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2011
Posts
10,326
Reaction score
4,787
Harusi ya patashika imefanyika, walikuka wakanywa wakaserebuka, sasa shughuli imekwisha bwn harusi keshalala na mkewe yapata cku ya 7. Cku ya 8 bw harusi amefunga safari kurudi ukweni shabaha, lengo na dhamira yake ni kwenda kuwashukuru wazazi wa bi harusi kw kumtunza vema kimaadili binti yao kufuatia bi harusi kumkuta mzima yaani Bikra! Ikawa km ifuatavyo :
Bw. Harusi : wazazi wng ujio wng leo ni maalumu kuja kuwapa mkono wa shukrani baada ya kua nimemkuta binti yenu ni mdogo na nimekuja na zawadi maalumu kw hilo.
Wazazi : baba wala huna haja ya kutushukuru sie, itabidi ukamshukuru bwn aliekua akiishi nae kii'uhawara kw maana ameishi nae takriban mwaka 1 na hivyo inakua alikua huyo bwn akimtumia masaburi (yaani binti alikua ana Devidiwa camerooniwa) kilichofata bwn akadondoka kukimbizwa hosp kupimwa sukari imepanda hadi 12500
 
Mhm? Jicho mwaka mzima... Hiyo inakuwa si 'nukta' tena bali ni 'O'.
 
LMAO... Kweli hao wazazi hamnazo..!
 
Mambo mengine kuafuta kufa kabla ya umri wako,msipende kusema asente.
 
Huyo jamaa amepata alichokuwa anakitafuta. Amekoma.
 
Inaonekana hao wazazi wanayajua sana mambo ya David Camerron. Mtoto wa nyoka ni nyoka!!!
 
Back
Top Bottom