wepson
JF-Expert Member
- Mar 31, 2014
- 831
- 219
Habari za Leo ndugu zangu!
Tukiwa tumebakiza masaa machache kuaga MWAKA 2018 kuelekea MWAKA 2019, ningependa kushukuru jukwaa la MMU kwa kunifanikisha kupata mpenzi wangu kama nikivyotangaza katika tangazo langu la tar 25 December 2018.
Kwa kifupi nimefanikiwa kupata mpenzi wangu na tumekutana na kufanya mazungumzo ya kirefu sana na hatimaye tukafikia mwafaka katika mambo mengi.
Hivyo basi napenda kuwaasa na kuwashauri wanaobeza kwamba huwezi pata mpenzi JF kuwa habari hizo si za kweli.
Yamkini kunaweza kukawa na watu ambao wana stress Ila kwa upande wangu namshukuru Mungu kwa Baraka zake.
Asanteni WOTE Mlionitakia mema katika utafiti mwangu
Asante