Wakuu napenda kuwashukuru sana wana JF kwa msaada wa taarifa za kazi. Nimepata kazi mwezi uliopita kutokana na tangazo lililoletwa humu JF. Naahidi kuichangia JF ili izidi kusonga mbele. Ahsanteni sana.
Sifa,Heshma anastahiri Mungu wetu aliyekupa
kazi kupitia JF,cha msingi na muhimu ni kwenda
kumshukuru Mungu kwa mambo makuu aliyokutendea hasa hili la kazi.

Kila jambo linawakati wake mkuu, mimi nimekaa benchi nikijihusisha na ufundi ujenzi kwa mwaka 1, huku nikitumia kile ninachokipata huko katika kufanya applications sehemu mbalimbali. Kwahiyo, mkuu naomba usikate tamaa maana Mungu ni mwaminifu, haukwenda shule bahati mbaya, ipo siku Mungu atakutendea, kwa wakati wake.
Sifa,Heshma anastahiri Mungu wetu aliyekupa
kazi kupitia JF,cha msingi na muhimu ni kwenda
kumshukuru Mungu kwa mambo makuu aliyokutendea hasa hili la kazi.
Nashukuru mkuu kwa ushauri wako.
Katika maisha yangu yote, nimejifunza kumshukuru Mungu kwanza kwa neno na kwa tendo (sadaka ya shukrani) kabla ya kuwashukuru watu.