asha mushi
Member
- Feb 23, 2017
- 33
- 29
Mapenzi ni kama ligi ya mbuzi striker anaweza kupotea''Ukiacha hisia zikuendeshe kwa ujeuri UTAISHIA KUFELI''-fid Q
Mapenzi ni matamuu naogopa kuumiza moyo..nashindwa kujaribuu roho inaniuma sana...roho inaniumaaaa...Mapenzi ni kama ligi ya mbuzi striker anaweza kupotea
Wengi wanaaaaa......
Wachache ndiyo wanaplay fair /
Kubanda
[emoji173] [emoji169] [emoji170] [emoji172] [emoji178] [emoji56] [emoji56]Follow your heart but carry your brain with you
That's all.
Kumsahau siwezi hasa kumkumbuka nisiyemjua/ mapenzi yalinifanya nkaumbuka nnachoshkuru hayakuniuaaMapenzi ni kama ligi ya mbuzi striker anaweza kupotea
Wengi wanaaaaa......
Wachache ndiyo wanaplay fair /
Kubanda
Ushuhuda tafwazaliKumsahau siwezi hasa kumkumbuka nisiyemjua/ mapenzi yalinifanya nkaumbuka nnachoshkuru hayakuniuaa
Umeniachia donda sugu ambalo haliwezi kupona daima, laiti kama ningepata nafasi ya pili nikushike japo mkono, kisha nikuvute karibu ili uyasikilize mapigo yangu ya moyo nahisi ungenielewa. Am still in love with youUshuhuda tafwazali
bby until you say the truth about what happened, naomba kusema acha moyo wangu usukume damu sasa.Umeniachia donda sugu ambalo haliwezi kupona daima, laiti kama ningepata nafasi ya pili nikushike japo mkono, kisha nikuvute karibu ili uyasikilize mapigo yangu ya moyo nahisi ungenielewa. Am still in love with you
sawa, basi naomba upokee simu yangu cuz mi sipo tayari kukupotezabby until you say the truth about what happened, naomba kusema acha moyo wangu usukume damu sasa.
duuuh