Shukrani ITV kuonesha uchafu eneo la Mbagala Rangitatu leo

Hismastersvoice

JF-Expert Member
Jan 26, 2013
18,670
22,261
ITV imetembelea Mbagala Rangitatu na kujionea hali ya uchafu ambao umekimbiwa na nzi. Ninatumai habari hii ataiona Mkuu wa Mkoa na kuchukua hatua haraka.

Ninaamini kukisafishwa huenda nzi watarejea na kuwawezesha wafanyabiashara kuuza dawa za kuua nzi, tunaishi kwa kutegemeana.
 
Watakuwa wahujumu uchumi hao,kesi ya uhujumu uchumi inawasubili.
 
Back
Top Bottom