mult_talented_p
Senior Member
- Oct 10, 2016
- 103
- 120
rekebisha kiswahili kwanza, kuamishwa siyo kiswahili, we si msomi?Napenda kutoa shukurani zangu kwa bodi ya mikopo, kwa kutuletea mikopo, japo ni kwa baadhi ya wanafunzi wa St. Joseph tulioamishiwa RUCU via Marian University.
Nimeona ni vyema kama nilivoandika barua ya kuomba mkopo kwa Raisi, wiki chache zilizopita, pia nitoe shukrani kwa kutuletea mikopo.
Ahsanteni sana jf, bodi ya mikopo na muheshimiwa Raisi.
Thanks from a University student.
Wengine ni vijukuu vya mtume. Tumekopa kitambo lakini kwenye list hatupo! Watajua wenyewe!Hongera! Tukutane kwenye kurejesha huo mkopo.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] . Nimecheka sana eti tuwarudishie mabomu waliyotupigaKula tu Mkuu.
Siku ukimaliza Chuo na wewe usiutoe mpaka wakuandikie Barua kama ilivyokulazimu wewe kufanya hivyo.
Sisi wengine hatutoi ng'oo. Wanatutishia kutupeleka mahakamani lakini hakuna kulipa hapa,mpk waandamane kisha tuwarudishie mabomu waliyotupiga kwanza.
Unamanisha nini?Product za Udom
Umeona eeeh....Shyeeeh...!!! Unashukuru nini sasa binti wakati ni haki yako!
Au hauna vigezo?
Acha kukurupka ww mtu kasema kahamishwa kutok st joseph kwend marian ww unasem product za udom acha up…………uzi ushakuaa!!!!Product za Udom
Na hawana mkopo coz mda wao ulishaisha wa kulipiwa na bodi....Hongera! Wenzio wa UDOM Wanarudia mwaka, bahati yako ulienda huko
Udom kuna tatizo gani mpaka unanitukana aisee? Udom ni chuo apacho kinaheshimika sana kama hujui.Acha kukurupka ww mtu kasema kahamishwa kutok st joseph kwend marian ww unasem product za udom acha up…………uzi ushakuaa!!!!