johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,826
- 141,733
Nilishauri hapa Jamii Forums kwamba Bunge na Serikali vimjibu mbunge wa Singida mashariki mh Tundu Antipas Lisu kwa kutumia media zilezile za kimataifa ambazo yeye anazitumia kuishambulia serikali.
Namshukuru Balozi Dr Possi wa Ujerumani kwa kunielewa na namuomba Dr Migiro balozi wetu pale UK atimbe BBC kusafisha hali ya hewa.
Kumjibu Tundu Antipas Lisu kupitia TBC ni kumuongezea tu umaarufu asioustahili anatakiwa apandiwe huko huko juu aliko.
Usiku mwema
Maendeleo hayana vyama!