Coz walikuwa wanatumikishwa kwenye mashamba ya Wajerumani huko kusini mwa Tanganyika.Walikuwa wanalipwa ujira mdogo pia kazi masaa 12 hakuna kupumzikaUyo shujaa mbona hana afya ya mwili hadi ya akili
acaha dharau,wewe hapo ulipo na nguvu zako na akili yako hujawahi fanya chochote cha kukumbukwa na taifa lako,leo huyu mwenzako ambae umemsoma shuleni na anajulikana hadi nje ya mipaka ya bara lako bado unamuona hakuwa na afya ya mwili na akili,acha kutumia macho kumjaji mtu,ndio maana wakati mwingine tunasema Jf hakuna great thinkerUyo shujaa mbona hana afya ya mwili hadi ya akili
Sema huyo shujaa sio uyo shujaa, naona umeandika Kizaramo.Uyo shujaa mbona hana afya ya mwili hadi ya akili
Acha kuongopa wewe g. o. atCoz walikuwa wanatumikishwa kwenye mashamba ya Wajerumani huko kusini mwa Tanganyika.Walikuwa wanalipwa ujira mdogo pia kazi masaa 12 hakuna kupumzika
Huyo anaitwa Suleiman Mamba kiongozi wa kabila la Wamwera wakati wa vita vya Majimaji mwaka 1905-1907 hapo amepigwa picha baada ya kukamatwa na wakoloni.
Kama una swali lingine uliza/
Kupigwa tu picha ndio amekuwa shujaa tayari?acaha dharau,wewe hapo ulipo na nguvu zako na akili yako hujawahi fanya chochote cha kukumbukwa na taifa lako,leo huyu mwenzako ambae umemsoma shuleni na anajulikana hadi nje ya mipaka ya bara lako bado unamuona hakuwa na afya ya mwili na akili,acha kutumia macho kumjaji mtu,ndio maana wakati mwingine tunasema Jf hakuna great thinker
Iyo picha imepigwa mwaka gani MkuuCoz walikuwa wanatumikishwa kwenye mashamba ya Wajerumani huko kusini mwa Tanganyika.Walikuwa wanalipwa ujira mdogo pia kazi masaa 12 hakuna kupumzika
Huyo anaitwa Suleiman Mamba kiongozi wa kabila la Wamwera wakati wa vita vya Majimaji mwaka 1905-1907 hapo amepigwa picha baada ya kukamatwa na wakoloni.
Kama una swali lingine uliza/
1907Iyo picha imepigwa mwaka gani Mkuu
SULEIMAN MAMBAJina lake ni....?
Sawa mtaalam.1907