Shuhudia Rais Hussein Mwinyi alivyoelekea Dodoma katika vikao vya CCM vitakavyopitisha Wagombea

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
3,177
Reaction score
7,472
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi ameondoka Zanzibar na kuwasili jijini Dodoma kushiriki katika vikao vya kikatiba vya Chama Cha Mapinduzi ngazi ya Taifa leo tarehe 20 Agosti, 2025.

Katika uwanja wa ndege wa Dodoma, Rais Dkt.Mwinyi amepokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule pamoja na Viongozi mbalimbali wa Serikali na Vyombo vya Ulinzi na Usalama wa Mkoa huo.
 
Hii habari yako inanisaidia nini Mimi mkulima wa viazi hapa Uyole Mbeya.!!?

Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom